Genesis 3:8

8 aNdipo yule mwanaume na mkewe, waliposikia sauti ya Bwana Mwenyezi Mungu alipokuwa akitembea bustanini jioni, wakajificha kutoka mbele za Bwana Mwenyezi Mungu katikati ya miti ya bustani.
Copyright information for SwhKC